
MUNIR ZAKARIA: SIYO DHAMBI FAMILIA ZA VIONGOZI KUGOMBEA UONGOZI
Na Mwandishi Wetu, DODOMA KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Munir Zakaria, amekemea vikali dhana inayojengwa na baadhi ya watu kwamba familia za viongozi wakuu wa nchi hazina haki ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo ubunge. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Agosti 17, 2025, Zakaria amesema dhana hiyo ni ya kupotosha na inapingana…