MRADI WA TACTIC KUBADILISHA MANDHARI YA JIJI LA DODOMA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Jiji la Dodoma, Dkt. Fredrick Sagamiko ameeleza kuwa ujio wa mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) umekuwa na manufaa makubwa kwa kuwa sehemu ya utatuzi wa changamoto mbalimbali katika jiji hilo. Akizungumza katika mahojiano maalum kiongozi huyo amebainisha kuwa miongoni mwa miundombinu inayojengwa ni pamoja na barabara…

