UVCCM YAZINDUA MFUMO WA KUSOMA ILANI KIDIGITALI

 Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa,Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezindua Mfumo wa kisasa wa   Kijani Ilani Chatbot ambao utaenda  utawarahisishia  vijana kufahamu mambo yaliyofanywa  na serikali    2020-2025  na yanatarajiwa kufanywa  2025-2030 kupitia CCM kwakutumia vifaa vya mawasiliano popote alipo. Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo  uliofanya…

Read More