WAKANDARASI MIRADI YA UMEME TANGA ,WATAKIWA KUONGEZA KASI YA HUDUMA KWA WATEJA

Na Mwandishi Wetu,Tanga WAKANDARASi waliopewa zabuni ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA, wametakiwa kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati na kwa ubora uliopangwa ili iweze kuwanufaisha wananchi. Rai hiyo imetolewa leo Agosti 31, 2025 wilayani Korogwe na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu,…

Read More