
DC MKALAMA AVUTIWA NA UBUNIFU WA WANAFUNZI WA UDSM NANENANE
Na Asha Mwakyonde, DODOMA MKUU wa Wilaya ya Mkalama, Moses Machali, amepongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya sayansi, teknolojia na ubunifu nchini, akisisitiza kuwa chuo hicho kina nafasi ya kipekee kama “baba wa vyuo vyote” nchini. Machali ametoa pongezi hizo leo, Agosti 6, 2025, alipotembelea banda…