WANANCHI TUNZENI BARABARA KWA KUZIFANYIA USAFI: MHANDISI MATIVILA

Na Mwandishi Wetu,Mwanza NAIBU Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila amewataka wananchi kuhakikisha wanazitunza barabara kwa kuzifanyia usafi ili zidumu kwa muda mrefu. Mhandisi Mativila ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) katika wilaya ya Ukerewe mkoani…

Read More