
TAWA YAMNASA SIMBA MLA MIFUGO KONDOA
Na Mwandishi wetu, Dodoma MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumkamata simba jike akiwa hai baada ya mfululizo wa mashambulizi ya wanyama hao kuua zaidi ya mifugo 20 katika Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma. Simba huyo aliingia kwenye rada za askari wa TAWA majira ya saa 4 usiku, Septemba 6, 2025, katika kijiji…