
CRDB YAREJESHA HUDUMA KWA KIWANGO CHA KIMATAIFA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BENKI ya CRDB imetangaza kurudi kwa huduma zake ambazo zilizositishwa kwa takribani saa 72 kutokana na uwekaji wa mfumo mpya wa kibenki (Core Banking System) wenye lengo la kuongeza kasi kubwa zaidi ili kukidhi viwango vya kimataifa. Akizungumza leo Septemba 8, 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDBÂ Abdulmajid Nsekela…