
TEKNOLOJIA YA KISASA YATAJWA KUWA KIKWAZO KUENDELEZA UCHUMI WA BULUU
Na Aziza Masoud,Dar es salaam SERIKALI imesema ukosefu wa teknolojia za kisasa,takwimu sahihi na uelewa mdogo wa wananchi kuhusu fursa zilizopo katika uchumi wa buluu ni changamoto kubwa katika sekta ya bahari hivyo imewataka wadau kuzitafutia ufumbuzi. Akizungumza leo Septemba 10, 2025 katika uzinduzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu lililoandaliwa na Chuo cha Bahari…