
SHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMIKI (IAEA) KUISAIDIA TANZANIA UZALISHAJI UMEME WA NYUKLIA
Na Mwandishi Wetu,Austria. Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomi (IAEA) limeeleza nia yake ya kuisaidia Tanzania katika mipango yake ya kuanza kuzalisha umeme kwa kutumia nishati ya Nyuklia Hayo yamebainika katika kikao kando ya Mkutano Mkuu wa 69 wa masuala ya Atomic uliohitimishwa tarehe 19 Septemba, 2025 nchini Austria. Kikao hicho kilifanyika kati ya…