
TOTAL ENERGIES YAANZA KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI DODOMA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya TotalEnergies Tanzania, Getrude Mpangile, amesema kampuni hiyo imetoa Elimu ya usalama barabarani katika Shule ya Msingi Mnadani Septemba 24,2025 ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika katika Mkoa wa Dodoma,Amesema elimu hiyo inalenga kuwafundisha watoto sheria na kanuni za usalama barabarani ili waweze kutumia barabara…