REA YATOA MAFUNZO YA NISHATI SAFI KWA MAKUNDI MAALUM
Mwandishi Wetu Katavi WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), imepongezwa kwa kuwezesha na kuhamasisha upatikanaji wa nishati bora na salama kwa wananchi walioko maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji ili watanzania watumie nishati safi na salama nchini. Pongezi hizo zimetolewa leo Oktoba 23, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Mhe. Jamila Yusuf wakati akifungua…

