OTHMAN:NITAREJESSHA HADHI YA ZANZIBAR DUNIANI
Na Mwandishi Wetu,ChakeChake MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema atahakikisha Zanzibar inarejesha hadhi na heshima yake katika jumuiya ya kimataifa mara baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar. Akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika Viwanja vya Tibirizi, Chake Chake Pemba, Othman alisema Zanzibar ilikuwa…

