BUGURUNI VIZIWI YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA ELIMU YA USALAMA BARABARANI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHULE ya Msingi ya Buguruni Viziwi imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika mashindano ya ubunifu wa elimu ya usalama barabarani kwa mwaka 2025 (VIA Creative 2025), yanayoendeshwa na Kampuni ya Total Energies kwa kushirikiana na TotalEnergies Foundation pamoja na NafasiArt Space. Washindi wa mashindano hayo ambayo yenye lengo la kuhamasisha…

