REA, TANESCO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUONGEZA IDADI YA WATEJA VIJIJINI
Na Mwandishi Wetu,Arusha MWENYEKITI wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ametoa rai kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutoa kifaa maalum (Ready boards) ambacho kitawezesha wananchi kusaidia kupunguza gharama kubwa za kuunganisha mfumo wa kupokelea umeme nyumbani (wiring) kwenye miradi ya umeme vijijini….

