MPOGOLO AWATAKA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewataka wenyeviti wa wa serikali ya mtaa wa mkoa huo kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme katika maeneo yao. Akizungumza katika kikao kilicho wakutanisha WenyeViti wa serikali za mitaaa pamoja ma Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jiji la Dar es Salaam kwa niaba…

