AWESO ARIDHISHWA NA WINGI WA MAJI RUVU JUU, AIPA DAWASA JUKUMU
Na Mwandishi Wetu,Dar es WAZIRI maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb), amekagua na kujiridhisha na wingi wa Maji yanayoingia katika Mtambo wa Maji Maji Ruvu Juu uliopo Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani ikiwa ni ishara ya kuendelea kuimarika kwa huduma ya Maji. Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hatua hiyo ni jitihada zinazoendelea kutekelezwa na Serikali kupitia Wizara…

