DC MSANDO MGUU KWA MGUU MBURAHATI UFUFUAJI VISIMA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ubungo (DC), Mheshimiwa Abert Msando ametembelea na kukagua hali ya huduma ya upatikanaji maji kata ya Mburahati wilayani humo huku akitoa maelekezo kufufuliwa kwa visima vinne katika Kata hiyo na wananchi waanze kupata huduma ya maji. “Leo tumeanza na kata ya Mburahati, tumepita katika visima vinne…

