
MAWAKILI WA SERIKALI KUKUTANA DAR KESHO
Na Aziza Masoud Dar es Salaam MAWaKILI wa Serikali nchini wanatarajia kukutana kesho jijini Dar es Salaam kupitia kongamano lenye lengo la kuwaunganisha na kutoa elimu kwa jamii katika masuala mbalimbali yakijamii. Katika kongamano hilo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dk.Jakaya Kikwete unatarajiwa kuhudhuliwa na mawakili kutoka Tanzania Bara na…