
ETDCO WAKAMILISHA MRADI WA KILOVOLTI 132 TABORA URAMBO
Na Mwandishi Wetu,Tabora KAMPUNI ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) imefanikiwa kuwasha rasmi laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye mrefu wa kilomita 115 kutoka Tabora hadi Urambo ambao unakwenda kuwasaidiawananchi wa Urambo na Kaliua kupata umeme wa uhakika nakuchochea maendeleo. Akizungumza leo Machi 20, 2025 Mkoani…