
SH BILIONI 69.75 KUHUDUMIA MIRADI YA AFYA SIMIYU
Na Asha Mwakyonde,DODOMA MKUU wa Mkoa wa SimiyuAnamringi Macha ameeleza kuwakatika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umepokea jumla ya shilingi bilioni 69.75 ambapo shilingi bilioni 26.80 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Afya huku shilingi bilioni 10.96 ni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na Shilingi Bilioni 31.99 kwa ajili ya…