TOTAL ENERGIES YAANZA KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI DODOMA

‎Na Mwandishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya TotalEnergies Tanzania, Getrude Mpangile, amesema kampuni hiyo imetoa  Elimu ya usalama barabarani katika Shule ya Msingi Mnadani Septemba 24,2025 ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika katika Mkoa wa Dodoma,‎‎Amesema elimu hiyo inalenga kuwafundisha watoto sheria na kanuni za usalama barabarani ili waweze kutumia barabara…

Read More

HUDUMA YA MAJI DAR NA PWANI IMEIMARIKA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma ya majisafi ndani ya eneo lake la kihuduma na kuendelea kupita mtaani kujiridhisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa Wananchi katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA, Everlasting…

Read More

MAJIKO BANIFU 1000 KUUZWA KWA BEI YA RUZUKU KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

Na Mwandishi Wetu,Geita IMEELEWA kuwa majiko banifu yanayotolewa kwa bei ya ruzuku na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), ni majiko yanayotumia kiasi kidogo cha mkaa kulinganisha na majiko mengine ya mkaa. Hayo yamebainishwa na Wataalam kutoka REA wanaoendelea kutoa elimu kwa wananchi katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja…

Read More

KATIBU MKUU MRAMBA AKUTANA NA KAMPUNI YA NYUKLIA YA CHINA

Na Mwandishi Wetu,Austria KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba ameongoza ujumbe wa Serikali ya Tanzania katika kikao na Shirika la Taifa la Nyuklia la China (China National Nuclear Corporation – CNNC), kujadili fursa za ushirikiano katika kuanzisha na kuendeleza mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia teknolojia ya nyuklia. Katika kikao kilichofanyika jijini…

Read More

MJUMBE WA BODI COSOTA AHOFIA UTAYARI WA KAZI WA MKURUGENZI ALIYETEULIWA

NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM MATARAJIO ya Serikali katika kuinua sekta ya Sanaa, Ubunifu kupitia Haki Miliki Tanzania (COSOTA) huenda yakaingia majaribuni baada ya Mkurugenzi wake Mteule Loy Mhando kutokuwa tayari kwenda kufanyakazi katika eneo hilo. Mjumbe huyo wa Bodi alieleza wasiwasi wake  kwa sharti la kutotajwa jina na kueleza kuwa hivi karibuni Waziri wa Habari,…

Read More