
TAMA:MUITIKIO WA WANAUME KUSINDIKIZA WENZA KLINIKI BADO MDOGO
Aziza Masoud,Dar es Salaam CHAMA Cha Wakunga Tanzania (TAMA) kimesema kuna haja yakuendelea kutoa elimu kuhusu wanaume kuwasindikiza wenza waliopata ujauzito kliniki kwakuwa muitikio ni mdogo ambapo asilimia 47 pekee ndo wanatekeleza suala hilo. Akizungumza leo Februari 10, 2025 wakati wakufungua mafunzo ya kutoa huduma za dharula kwa wakunga wa Dar es Salaam kupitia mradi…