
MAZINGIRA WEZESHI YA SERIKALI YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI KUPITIA TAWA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuimarisha mazingira bora na wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kukuza uchumi wa Taifa kupitia sekta mbalimbali, hususan sekta ya…