DAWA MPYA ZA KULEVYA 1400 ZATENGENEZWA DUNIANI KUKWEPA MKONO WA SHERIA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) dawa mpya za kulevya zinatengenezwa kwa kasi kubwa duniani ambapo mpaka sasa zimeshabainika dawa zaidi 1400. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika semina ya wadau wa DCEA Kamishna Msaidizi wa Sayansi Jinai wa Ziliwa Machibya alisema kumekuwa na ongezeko la…

