DCEA:WANAOVUTA DAWA WAMEHAMIA KWENYE POMBE KALI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema udhibiti unaofanyika na kukamatwa kwa waingizaji wakuu wa dawa za kuelvya kumefanya bidhaa hiyo iwe adimu mtaani na kusababisha vijana wengi kuhamia kwenye uraibu wa pombe kali ambazo wanakunywa kupita kiasi. Akizungumza jijini Dar es Salaam Januari 9, 2026…

