WIZARA YA MALIASILI YAENDELEA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TAASISI ZAKE KWA KAMATI YA BUNGE
Na Mwandishi Wetu,Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzanva (Mb) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ubunifu wake katika sekta ya uhifadhi na utalii, ubunifu uliosababisha ongezeko kubwa la watalii na mapato ya Serikali. Pongezi hizo zimetolewa baada ya Kamati kupokea…

