DK.MAPONGA:WAAFRIKA TUUNGANE TUPAMBANE NA MIFUMO YA NCHI ZA MAGHARIBI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam NCHI za Afrika zimetakiwa kuungana ili kuwa na nguvu moja yakupambana na mifumo iliyowekwa na nchi za Magharibi kwa ajili yakujinufaisha kiuchumi na kusababisha migogoro baina ya viongozi na wananchi wa nchi hizo kwa kiasi kikubwa. Kauli hiyo imetolewa na Mwanajumui wa Afrika na Mwanafalsafa kutoka Zimbabwe, Dk. Joshua Maponga,…

