BRELA, CBE ZABADILISHA MAISHA YA VIJANA NDANI YA SIKU 100
Na Asha Mwakyonde, DODOMA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema serikali kupitia Wizara hiyo kwa kushirikiana na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imepiga hatua kubwa katika urasimishaji wa biashara na ulinzi wa ubunifu ndani ya kipindi cha siku 100, hatua inayochochea ukuaji wa uchumi na kuwawezesha wananchi hususan vijana kushiriki…

