TANESCO YAFANYA UKAGUZI WA MITA KITAALAMU KUBAINI UKWELI MALALAMIKO YA UMEME KUISHA HARAKA YAGUNDUA MITA ZIPO SAWA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi wa kitaalamu wa mita za umeme kwa baadhi ya wateja waliowasilisha malalamiko hayo kwa njia za mitandao katika maeneo ya Tabata Kimanga na Kimara Suka jijini Dar es Salaam. Malalamiko hayo yaliibuliwa na baadhi ya wananchi mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu…

