RC IRINGA ASISITIZA WANANCHI KUWALINDA WAKANDARASI NA VIFAA VYA UJENZI
Na Mwandishi Wetu,Iringa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James, amewataka wananchi wa Mkoa huo kutoa ushirikiano kwa Wakandarasi wa miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), ikiwemo kulinda miundombinu na vifaa vya ujenzi ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati na iweze kuleta tija na kuchochea maendeleo nchini. RC James amebainisha hayo leo Januari…

