WANANCHI MAKURUMLA WALALAMIKIA SHIDA YA MAJI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WANANCHI wa kata ya Makurumla wamelalamikia shida ya maji yanayosambazwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ambapo wanadai kuwa eneo hilo hakuna maji na hata ikitokea yametoka yanakuwa machafu. Wakizungumza kwa nyakati katika kikao maalum cha halmashauri kuu ya eneo hilo Job Mwakajumba ambaye anaishi katika …

