FURSA MPYA ZA MADINI ZAWAFIKIA VIJANA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma TUME ya Madini imetangaza mipango ya miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali kwa vijana katika mwaka wa fedha 2026/2027, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuweka mazingira wezeshi yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika Sekta ya Madini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Machi 16, 2026 kwa niaba ya Katibu…

Read More