REA YABORESHA UZALISHAJI CHUMVI SINGIDA, YAWAWEZESHA WANAWAKE
📌Miundombinu mipya kuongeza uzalishaji, ubora wa chumvi na kipato cha wanawake 📌Mashine 50 za mkaa mbadala kuongeza upatikanaji wa nishati safi ya kupikia Na Mwandishi Wetu, Singida WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umejenga miundombinu ya kisasa ya uzalishaji wa chumvi kwa wanawake wa Kijiji cha Nsunsu, Wilaya ya Iramba mkoani Singida, hatua inayotarajiwa kuongeza tija,…

