MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI KUKAMILIKA IFIKAPO MWAKA 2030

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy, amesema Serikali imedhamiria kukamilisha miradi ya kusambaza umeme katika vitongoji vyote ifikapo mwaka 2030, hatua ambayo itachochea shughuli za kijamii na kiuchumi kwa wananchi. Mha. Saidy ameyasema hayo jijini Dodoma, wakati akizungumza katika Kikao Kazi cha Watumishi wa Wakala wa…

Read Full News