CPA LUBUVA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KONDOA


Na Mwandishi Wetu,Kondoa
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Comrade CPA.Hassan Lubuva amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kondoa kupitia chama hicho.

CPA Lubuva amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 na kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Wazazi wa chama hicho willaya Juma Seif katika ofisi za chama hicho wilaya ya Kondoa.