EWURA YASISITIZA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI KWA VIWANGO VYA KIDIGITALI
Na Asha Mwakyonde,DODOMA MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),Dk.James Andilileamesema kuwa wanajibidisha katika kuhakikisha huduma zinapatikana katika kiwango kinachotakiwa kwa wananchi ambao wana wahudumia. Pia amesema EWURA kama taasisi za serikali na Utumishi wa Umma wanaendelea kusisitizana kutoa huduma katika viwango vinavyokubalika ili Rais Dk Samia Suluhu Hassan…

