Hubert Kiwale

MDAU WA MAENDELEO NDUGU JOSEPH MUSHI AIKOSHA CCM

Na Ashrack Miraji (Same) Kilimanjaro Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafii amesema amefurahishwa na kitendo cha Joseph Mushi kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania kwa kujenga zahahati Kibosho itakayokuwa msaada kwa wananchi hao. Hayo ameyasema Jana Machi 25,2024 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro,Patrick Boisafi Wakati akikata utepe…

Read More

DC Same aritjishwa na hatua za haraka zilizochukuliwa na TANROAD kukarabati daraja la Kihulio

Na Ashrack Miraji, Same kilimanjaro Hatimae mawasiliano ya barabara baina ya wakazi wa Kisiwani-Maore, Ndugu,Kihurio na Bendera wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yamerejea baada ya wakala wa Barabara nchini kufanikisha matengenezo ya Daraja Kihurio lililokuwa limeharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Mkuu wa wiaya ya Same Kasilda Mgeni akiwa na kamati ya ulinzi…

Read More

Serikali kuja na ‘MASTER PLAN’ ya miundombinu

Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaandaa Mpango Mkuu (Master Plan) wa Miundombinu ya nchi kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kijamii itakayowezesha kurahisisha usafiri na usafrishaji kulingana na ongezeko la watu nchini.  Mpango huo utaangazia mtandao wa barabara wa nchi nzima kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za…

Read More