
KATIBU MKUU AFYA ASISITIZA MATUMIZI SAHIHI YA KEMIKALI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, amewatakawadau wa Kemikali kuzingatia matumizi salama na sahihiya kemikali ili kuchochea maendeleo katika nchi yetukwani kemikali ikitumika vizuri kwa kuzingatia miongozoina faida kubwa tofauti na pale inapotumika vibaya. Dkt. Jingu amesema hayo leo Desemba 11,2024 wakati akifungua mafunzoya siku tatu ya usimamizi na udhibiti…