Jaji Mkuu aitaka BRELA kuunganisha Mahakama kwenye kanzidata
Mwandishi wetu ,Dar es Salaam JAJI Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuiwezesha Mahakama nchini kuunganishwa kwenye Kanzidata ya Wakala ili kuweza kuhakiki taarifa za kampuni kwa uharaka pindi inapokuwa inashughulikia mashauri yahusuyo kampuni hizo Rai hiyo ameitoa alipotembelea banda la BRELA lilipo ndani ya jengo la…