
DKT. KAZUNGU AKAGUA VITUO VYA UMEME NJIRO NA LEMUGURU- ARUSHA.
Na Mwandishi Wetu,Arusha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu amekagua vituo vya umeme vya Lemuguru na Njiro mkoani Arusha na kuipongeza TANESCO kwa kazi kubwa iliyofanyika ya ujenzi wa vituo hivyo. “Nachukua nafasi kulipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kazi kubwa iliyofanyika katika vituo hivi na hii ni njia ya…