taifatz

Wananchi watakiwa kutembelea banda la GCLA Sabasaba

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWAKILISHI  wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) Stafford Maugo, amewataka wananchi wa kitembelea banda lao katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) kujionea shughuli mbalimbali wanazofanya ili waweze na kujifunza kuhusu masuala ya kemikali. Amesema kupitia maonesho hayo watawaelezea aina ya chunguzi wanazofanya kwa kushirikiana…

Read More

REA kutumia Sh Bilioni 35.2 kuweka nishati zakupikia kwenye magereza

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAKALA wa Nishati Vijijini(REA), inatarajia kutumia Sh. Bilioni 35.2 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa matumizi ya nishati safi yakupikia katika magereza 129 nchini katika kipindi cha miaka mitatu. Lengo la mradi huo ni kupunguza matumizi ya nishati inayoharibu mazingira kwenye taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 100. Akizungumza kwenye maonesho…

Read More

FCC kuendelea kuwalinda wananchi na bidhaa bandia

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  TUME ya Ushindani nchini (FCC) imesema  itaendelea kulinda wananchi ili wasiuziwe bidhaa zisizo na ubora na bandia  kwakusimamia sheria ya ushindani inayodhibiti bidhaa hizo. Akizungumza na waandishi wa habari katika banda lao lililopo Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu…

Read More

‘Msiwafiche  watu wenye ulemavu’

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  Riziki Ndumba ambaye ni fundi cherehani na mlemavu wa mikono amewataka wazazi wenye watoto wenye ulemavu kutowaficha badala yake wawatafutie shule wapate ujuzi. Ndumba ambaye ni muhitimu kutoka Mamlaka ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA) Songea amesema tangu ahitimu mwaka 2021,alisema endapo wazazi wake na yeye wangemficha asingepata ujuzi hivyo…

Read More

’T-CAFE’ za TTCL kufungwa mtandao wa intaneti kwa bei nafuu

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imekuja na huduma mpya ambayo itahusisha kufunga mtandao  kwa bei nafuu katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu kama vituo vya treni,viwanja vya ndege na mabasi inayojulikana kama(T-CAFE). Akizungumza leo Julai 3, katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa(Sabasaba) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya…

Read More

Nyahende:Mashine ya watoto njiti niliyobuni ni rafiki zaidi

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MKURUGENZI wa kampuni ya Nyahende Medical Divices  George Nyahende amesema  mashine ya watoto wanaozaliwa bila kutimia miezi  (njiti) ambayo ameifanyia ugunduzi na kuitengeneza  kwa teknolojia ya hali ya juu na kwamba ina uwezo wakufanya kazi hata katika maeneo ya vijijini. Nyahende ambaye kitaaluma ni Mhandisi mitambo ametoa kauli hiyo katika Maonesho ya Biashara ya…

Read More

Doyo agoma kuutambua uchaguzi ADC

a Aziza Masoud,Dar es Salaam ALIYEKUWA Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti kupitia Chama Cha Alliance For Democratic Change (ADC) Doyo Hassan Doyo amesema kuwa hautambui uchaguzi wa viongozi  wa Chama hicho na kusisitiza kuwa ulienda kinyume na katiba na kanuni za Chama hicho. Doyo ambaye katika uchaguzi huo alishindwa huku mpinzani wake Shabani Itutu akichukua nafasi…

Read More

 MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA BARABARA YA DAR-LINDI-MTWARA YOTE NI SHWARI

Barabara ya Dar es salam-Lindi-Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji wa mawasiliano katika maeneo yote yaliyokuwa yamekatika. Mvua kubwa zilizoambata na Kimbunga Hidaya ziliharibu miundombinu ya barabara hiyo katika eneo la Mikereng’ende, Songas, Somanga na Matandu-Nangurukuru ambayo yalikatika kutokana na mvua zilizonyesha na kuambatana na Kimbunga Hidaya. Juzi tarehe 9…

Read More