taifatz

MIZIGO YAONGEZEKA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara amesema kuwa kwasasa katika Bandari ya Dar es Salaam kunaongezeko kubwa la Meli na Mizigo hivyo Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) Kwa kushirikiana na Shirika la Reli (TRC) kuhakikisha wanaboresha Bandari Kavu ya Kwala. Kahyarara ameyasema hayo jana…

Read More