taifatz

BASATA YAMPA KIBALI CHAKUANDAA MISS UNIVERSE MAGESA

Na  Mwandishi Wetu,Dar es Salaam  BARAZA la Sanaa la Taifa(BASATA)limetoa baraka na kibali kwa Mwanamitindo wa Kimataifa na Mrembo wa Tanzania Millen Happiness Magese kupitia kampuni yake ya MILLEN PRIVÉ & Co. LIFESTYLE Bespoke Luxury Lifestyle & Hospitality Management kuandaa  mashindano ya Miss Universe Tanzania. Millen amepata baraka na kibali cha kuandaa Miss Universe Tanzania …

Read More

KAILIMA AWAITA WANANCHI WA DAR ES SALAAM KUJITOKEZA KUHAKIKI, KUBORESHA TAARIFA ZAO DAFTARI LA WAPIGA KURA

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MKURUGENZI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wenye sifa za kupiga kura hapa nchini kujitokeza kwenda kuhakiki na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Awali la Mpiga Kura lililowekwa kwenye kila Kata kwa ajili ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwa usahihi Kailima amezungumza hayo…

Read More

ELIMU YA NISHATI SAFI YA UMEME KUPIKIA YAWAKOSHA WAANDISHI WAENDESHA OFISI NCHINI

Na Mwandishi Wetu Arusha. Waandishi Waendesha Ofisi kutoka taasisi mbalimbali nchini wamelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuwapatia elimu sahihi ya matumizi ya Nishati Safi ya umeme kupikia hali itakayosaidia kuondokana na matumizi ya Nishati zisizo salama ikiwemo kuni na Mkaa. Wamebainisha hayo tarehe 15, 2025 baada ya kutembelea Banda la TANESCO katika maonesho…

Read More