
BASHUNGWA:MAGARI 150 YA ZIMAMOTO YANUNULIWA NA KUSAMBAZWA NCHI NZIMA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuliimarisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kulipatia vitendea kazi ambapo sasa inatekeleza mradi wa ununuzi vifaa mbalimbali vya kuzima moto na uokoaji pamoja na magari 150 ya kuzima moto na uokoaji. Bashungwa ameeleza hayo leo Februari 03, 2025…