WATEJA ZAIDI YA 250,000 KUJIUNGA NA ‘TCB POPOTE’ HADI KUFIKIA DESEMBA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inatarajia kuwafikia wateja wapya 250,000 ifikapo Desemba mwaka huu kupitia huduma yao ya ‘TCB Popote’ ambayo itawawezesha wananchi kufungua akaunti kidigitali. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Julai 30,Mkuu wa Kitengo cha Ufumbuzi wa Kigitali wa TCB Jesse Jackson amesema lengo la akaunti hiyo ni kuwasogezea wananchi huduma zakifedha karibu. “Malengo…