EWURA yaendelea kuhamasisha matumizi ya gesi asilia kwenye magari

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam  MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imesema inaendelea kuwahamsisha watu wenye kurekebisha magari yao ili waweze kutumia gasi asilia iliyokandamizwa (CNG). Uhamasishaji unaelezwa kufanya kupitia  ripoti ya gesi  unalenga kuwasaidia wananchi kuweza kuweka huduma hiyo ambayo ni ya bei rahisi zaidi. Haya yamesemwa jijini Dar es Salaam…

Read More

Wafanyabisahara wahimizwa kutumia fursa zinazotolewa na Korea

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Fatma Maborok Khamis amehimiza wafanyabiashara kutumia fursa zilizopo  kati ya Tanzania na Jamhuri Korea ili kufaidika na soko la bidhaa mbalimbali ambazo  nchi hiuo limeonyesha kuzihitaji  zaidi za nchini. Akizungumza jana wenye maonesho ya 48 ya Kibiashara ya Kimataifa  ikiwa leo ni siku Maalum ya…

Read More

Jafo:Tutaendelea kuwalinda wafanyabiashara wa China ili kuzalisha ajira

Aziza Masoud,Dar es Salaam SERIKALI  imesema itaendelea   kulinda uhusiano wa kibiashara na  wafanyabishara wanaotoka nchini China na nchi zote duniani wanaokuja  kuwekeza ili kuzalisha ajira hususani katika sekta binafsi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Viwanda Dk.Suleimani Jafo katika manesho  ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasa wakati akizungumza katika mdahalo maalum wa siku ya China (China Day)….

Read More

FCC kuendelea kuwalinda wananchi na bidhaa bandia

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  TUME ya Ushindani nchini (FCC) imesema  itaendelea kulinda wananchi ili wasiuziwe bidhaa zisizo na ubora na bandia  kwakusimamia sheria ya ushindani inayodhibiti bidhaa hizo. Akizungumza na waandishi wa habari katika banda lao lililopo Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu…

Read More

’T-CAFE’ za TTCL kufungwa mtandao wa intaneti kwa bei nafuu

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imekuja na huduma mpya ambayo itahusisha kufunga mtandao  kwa bei nafuu katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu kama vituo vya treni,viwanja vya ndege na mabasi inayojulikana kama(T-CAFE). Akizungumza leo Julai 3, katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa(Sabasaba) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya…

Read More