WADAU WA UCHUKUZI WATAKIWA KUPANGA MIPANGO ITAKAYOKUZA UCHUMI WA BULUU
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WIZARA ya Uchukuzi imewataka wahitimu na wadau mbalimbali wa sekta ya uchukuzi kupanga mipango yao kulingana na Dira 2050 yenye lengo la kukuza uchumi wa buluu kupitia sekta ya usafirishaji funganishi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile katika mahafali ya 21 ya Chuo Cha Bahari Dar…

