LATRA YAANZA KUTOA VIBALI VYA USAFIRI WA WAYA KWA LENGO LA KUCHOCHEA UTALII
Na Asha Mwakyonde, Dodoma MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo, amesema mamlaka hiyo imeanza kutoa vibali kwa ajili ya usafiri wa waya katika maeneo mapya, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kukuza shughuli za utalii nchini. Akizungumza Agosti 8, 2025, katika kilele cha Maadhimisho ya Maonesho ya Kimataifa ya…

