MSIGWA AAGIZA NYARAKA ZA UANZISHWAJI WA BODI YA ITHIBATI YA WANAHABARI ZIKAMILISHWE HARAKA

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, amemuagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Wakili Patrick Kipangula, kuhakikisha nyaraka zote muhimu zinazohitajika kwa ajili ya uanzishwaji rasmi wa Bodi hiyo zinakamilishwa mapema ili…

Read More

WASIRA: WALIOPORA ARDHI ZA VIJIJI WARUDISHE KWA WANANCHI.

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira, ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuhakikisha ardhi ya vijiji iliyoporwa kinyume cha sheria, inarudishwa kwa wananchi. Wasira alitoa maagizo hayo leo jijini Dodoma, wakati akizungumza na viongozi pamoja na wanaCCM waliojitokeza kumpokea katika Ofisi za Makao Makuu…

Read More

WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM WAPATA ELIMU YA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI VIPAUMBELE

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TIMU ya Wataalamu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTDCP) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam ili kujenga uelewa kwa waandishi hao na jamii kwa ujumla Mafunzo hayo ni hatua muhimu ya utoaji elimu kwa umma kuhusu magonjwa Matano yaliyokuwa hayapewi kipaumbele…

Read More

NYONGO:TUTASIMAMIA UTEKELEZAJI WA DIRA YA MAENDELEO 2050

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SERIKALI imewataka wadau kuendelea  kutoa maoni yakuboresha rasimu ya Dira ya Maendeleo 2050 na kuahidi kuyafanyia kazi kwakusimamia utekelezaji wake. Kauli hiyo imetolewa leo Januari 10, 2025 na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji),Stanslaus Nyongo wakati mkutano wa Asasi za Kiraia (AZAKI) wakati wakuhakiki rasimu ya Dira…

Read More